Kapombe kuanza mazoezi, Wawa nje mwezi mmoja Beki wa kati wa Azam FC, Serge Pascal Wawa Mabeki wa Azam FC Shomari Kapombe na Serge Wawa wamewasili nchini baada ya kupata matibabu nchini Afrika Kusini. Read more about Kapombe kuanza mazoezi, Wawa nje mwezi mmoja