Vibonge kuondolewa kikosini Man City
Kama umeshawahi kumuona mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil, Ronaldo de Lima akisumbuka kupunguza ubonge ili achezea mpira kama alivyoanza, na mwishowe akashindwa, basi hiyo inaweza kutokea pia katika kikosi cha Man City.

