Serikali kuboresha sheria ya ndoa kumlinda mtoto

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu

Serikali imedhamiria kuifanyia marekebisho ya Sheria ya Ndoa na kuhakikisha marekebisho ya kifungu cha 13 na 17 cha sheria ya ndoa, kinachoruhusu mtoto chini ya miaka 18 kuolewa vinafanyiwa marekebisho.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS