Wakazi Tabora wamlilia Mkuu wa mkoa kutohamishwa
Baadhi ya Wakazi wa Mtaa wa Tukutuku Mjini Tabora wanaodaiwa kuvamia na kujenga eneo la shule ya wasichana ya Tabora, wamemuomba Mkuu wa Mkoa huo Aggrey Mwanri asitishe amri aliyoitoa ya kuwaondoa katika eneo hilo ndani ya siku 30.