Viongozi watakiwa kuiga programu ya ukuzaji soka
Wadau wa soka nchini wamewataka viongozi wa soka kuwa na programu ya muda mrefu kwa ajili ya kuwaandaa vijana kwa upande wa soka ili kuweza kuwa na wachezaji wazuri watakaoweza kufuta matokeo ya aina moja katika mashindano mbalimbali ya kimataifa.

