2Pac alini-insipire kufanya rap- Kalapina Msanii Kalapina amesema yeye kabla ya kuanza rap alikuwa ni mmoja wa wachezaji wazuri wa muziki kwa miondoko ya kuvunja (break dance) ambayo ilishawahi kumpatia ushindi hapa DSM miaka ya nyuma. Read more about 2Pac alini-insipire kufanya rap- Kalapina