Ajali ya UDA na treni yaua mmoja Dar Muonekano wa Uda baada ya kupata ajali ya kuingonga Treni Mtu mmoja amefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa katika ajali ya basi la kampuni ya UDA kuiogonga treni katika eneo la Kamata, Kariakoo Jijini Dar es Salaam, jana usiku. Read more about Ajali ya UDA na treni yaua mmoja Dar