Siwezi kumhukumu mtu yeyote- Lady Jaydee Msanii wa Bongo Flava Judith Wambura maarufu kama Komandoo Lady Jaydee amesema kwamba hawezi kumhukumu mtu yeyote katika kazi zake za usanii kwani mashairi yake anayoimba ni kiswahili fasaha kinachoeleweka. Read more about Siwezi kumhukumu mtu yeyote- Lady Jaydee