Aliyemuua Mwangosi ahukumiwa miaka 15 gerezani
Mahakama kuu kanda ya Iringa imemuhukumu askari wa jeshi la polisi kikosi cha kutuliza ghasia mjini Iringa Pasificus Cleophace Simon miaka 15 jela kwa kosa la kumuua bila kukusudia aliyekuwa mwandishi wa habari na mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa
