NDC yaanza kuchochea ujenzi wa viwanda
Shirika la Maendeleo la Taifa NDC limeanza utengenezaji wa mashine na vipuli kwa ajili ya kuongeza thamani bidhaa na mazao ya kilimo, hatua inayochochea kasi ya utekelezaji wa mpango wa serikali wa ujenzi wa viwanda.