Baadhi ya Washiriki wa Miss Tanzania 2016 walipotembelea EATV, leo
Shindano la Miss Tanzania ambalo lilikuwa limesimama kwa muda kidogo limerejea kwa kasi ya aina yake ambapo mwaka huu shindano hilo linafanyika kwa mara ya kwanza nje ya Jiji la Dar es Salaam.