Tafiti zimesaidia kufuta baadhi ya magonjwa: NIMR
Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu NIMR, imesema kuwa tafiti zinazofanywa na taasisi za utafiti zinasaidia serikali katika sekta ya Afya ikiwemo kupunguza mlipuko wa magonjwa mbalimbali yakiwemo yasiyopewa kipaumbele.