Polisi Dar yamnasa mtuhumiwa sugu wa ujambazi Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Simon Sirro. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kumkamata mtu mmoja anayedaiwa kuwa ni jambazi sugu katika maeneo ya Goba nje kidogo ya Jijini Dar es Salaam. Read more about Polisi Dar yamnasa mtuhumiwa sugu wa ujambazi