Angela Merkel aanza ziara ya kikazi barani Afrika

Kansela wa Ujerumani akiwa na Rais wa Mali Ibrahim Boubacar Keita wakizungumza na waandishi wa habari

Kansela Angela Merkel wa Ujerumani ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu barani Afrika yenye lengo la kukuza uhusiano na bara hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS