Bondia Ibrahim Class kuzichapa na 'Msauzi' Okt. 28 Bondia Ibrahim Class Bondia Mtanzania Ibrahim Class anatarajia kupanda ulingoni Oktoba 28 mwaka huu kupambana na bondia kutoka Afrika Kusini Jason Bedeman katika Uzito wa Kilo 63 Ubingwa wa WBF. Read more about Bondia Ibrahim Class kuzichapa na 'Msauzi' Okt. 28