Diamond na Alikiba wananipa kizunguzungu- Ivrah
Msanii wa wimbo 'Shusha' Ivrah amefunguka na kusema kuwa kwa sasa wanamuziki Diamond Platnumz pamoja na Alikiba ndiyo wanampa kizunguzungu kwenye muziki kutokana na mafanikio waliyonayo kwenye muziki mpaka kufikia hatua ya kushindanishwa.