Nataka kuoa siku za karibuni - Dogo Janja

Dogo Janja

Rapa Dogo Janja ambaye sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya 'Kidebe' amefunguka na kutangaza rasmi kuwa ana mpango wa kutaka kuoa na kusema kwamba muda si mrefu anaweza kuvuta jiko na kuweka ndani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS