Walinzi waliokuwa majeruhi Azam warejea kikosini
Mabeki wa Azam FC, Erasto Nyoni, Pascal Wawa na Aggrey Morris wameanza kuitumikia timu hiyo wakitokea katika matibabu ambapo hivi karibuni walicheza mechi ya kirafiki wakijumuishwa na kikosi cha vijana cha timu hiyo.