Nchi 140 duniani zimefuta adhabu ya kifo - LHRC
Wakati Tanzania leo ikiungana na mataifa mengine duniani katika kuadhimisha siku ya kupinga adhabu ya kifo duniani, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema adhabu ya kifo ni adhabu ambayo inakwenda kinyume na haki za binadamu.