Ndugai aifanyia mabadiliko kamati ya UKIMWI
Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Job Ndugai amefanya mabadiliko ya wajumbe wote 24 wa kamati ya bunge ya masuala ya UKIMWI, kwa kuunda upya kamati hiyo na kuteua wajumbe wapya 16 ambao pia watakuwa ni wajumbe katika kamati nyingine za kudumu za Bunge