Serikali kuanzisha Jeshi la Usu kulinda misitu

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhandisi Ramo Makani.

Serikali imesema kuwa ina mpango wa kuanzisha Jeshi Usu kwa ajili ya kuimarisha uhifadhi wa msitu ambao umekuwa ukiharibiwa vibaya katika maeneo mbalimbali nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS