Matonya awaasa watanzania kudumisha amani Msanii Matonya amewataka watanzania kudumisha amani na mshikamano walionao sasa, kwani iwapo wataivuruga amani hiyo hawataweza kuirudisha tena. Read more about Matonya awaasa watanzania kudumisha amani