Makamu wa Rais wa Cuba awasili nchini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba SALVADOR ANTONIO VALDES MESA amewasili jioni ya leo katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na kupokelewa na Mwenyeji wake Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan jijini Dar es Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS