Sipo tayari kumzungumzia Juma Nature –KR Muller Msanii maarufu wa Bongo Fleva nchini KR Muller amesema hawezi kumzungumzia msanii mwenzake Juma Nature kuhusu kauli zake kwamba ana wasiwasi KR anatumia madawa ya kulevya. Read more about Sipo tayari kumzungumzia Juma Nature –KR Muller