China kushiriki ujenzi wa maofisi Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Ujenzi ya CRCC ya China Bw. Fengchao Meng ambaye ameahidi kuwekeza kwa kushirikiana na serikali katika kuboresha miundombinu ya mkoa wa Dodoma.