Mkuu wa Wilaya amaliza mgogoro Hanang Mkuu wa Wilaya ya Hanang, Sara Msafiri Ally. Hatimaye Mgogoro wa ardhi uliohusisha Shule ya Sekondari ya Balang’dalalu na Kanisa la Pentekoste katika kijiji cha Balang’dalalu umepata ufumbuzi. Read more about Mkuu wa Wilaya amaliza mgogoro Hanang