Wafanyabiashara Soko la Morogoro wakubali kuhama

Soko Kuu la Morogoro nyakati za Mvua.

Wafanyabiashara wa Soko la Morogoro wamekubali kubomoa na kuhamishia mizigo yao sehemu nyingine ili kupisha ujenzi wa soko jipya baada ya mvutano uliodumu kwa muda wa miaka miwili.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS