Rwanda kufunga vidhibiti mwendo kupunguza ajali Wamiliki wa magari ya abiria na uchukuzi wa mizigo nchini Rwanda, wameagizwa kuweka mashine zinazodhibiti mwendo wa kasi (Speed governor) katika magari yao ili kupunguza ajali za barabarani. Read more about Rwanda kufunga vidhibiti mwendo kupunguza ajali