Halmashauri zisizojiweza kupigwa jeki na serikali
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge amesema kuwa wizara yake itasimamia mradi wa maji safi na usafi wa mazingira katika mji wa Nansio baada ya kubaini kuwa halmashauri ya Ukerewe haina uwezo wa kuendesha mradi huo.