Mfumuko wa bei mwezi Septemba washuka kwa 0.4%
Mfumuko wa bei unaotumika kupima kasi ya ongezeko la bei za bidhaa na huduma umeshuka kwa kipindi cha mwezi Septemba mwaka huu na kufikia asilimia 4.5 kutoka kiwango cha asilimia 4.9 ilivyokuwa mwezi Agosti mwaka huu.