Tuzo za EATV zitatufanya kuongeza juhudi - Raymond Msanii chipukizi ambaye anakuja kwa kasi kwenye game ya muziki Raymond Tip Top au Rayvanny, amesema kuja kwa EATV AWARDS zitaongeza hamasa ya kufanya juhudi kwenye sanaa yake kama msanii mchanga. Read more about Tuzo za EATV zitatufanya kuongeza juhudi - Raymond