Sina ujauzito kwa sasa - Linah Sanga
Msanii wa Bongo Fleva Linah Sanga maarufu kama 'Ndege Mnana' amefunguka na kusema kwa sasa hana ujauzito kama ambavyo watu wanahisi ila amedai kuwa yeye mwenyewe anatamani kuwa na mtoto na kusema muda si mrefu huenda mambo yakawa hivyo.