Shinyanga kinara mimba za utotoni, jamii yaonywa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Sihaba Nkinga, ameitaka jamii ikiwemo wazazi kutambua umuhimu wa kuwapa elimu watoto wa kike ambao wengi wao wanaikosa kwa kuolewa wakiwa na umri mdogo.