Wiki ya Afrika yatakiwa kuimarisha maendeleo

Watoto wakiwa kwenye maji

Wiki ya Afrika katika Umoja wa Mataifa imeanza jana ikiwa na maudhui ya kuimarisha ubia kwa ajili ya malengo ya maendeleo endelevu SGDS, utawala bora, amani na utulivu barani Afrika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS