Haya ndiyo yanayomuumiza Malaika
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Malaika ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake 'Rarua' amefunguka na kusema kuwa watu wanapokuwa wakitumia picha zake au wakiandika mambo yanayohusu maisha yake binafsi ni kitu ambacho kinamuumiza sana.