Naipongeza Simba kwa kuomba radhi - Nape
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Nape Moses Nnauye amesema anaipongeza klabu ya Simba kwa kuomba radhi kufuatia mashabiki wake kuvunja viti zaidi ya 1700 katika uwanja wa Taifa na kuahidi kuvitengeneza.