Lwenge aitwisha mzigo bodi ya mfuko wa maji

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge ameigiza bodi ya wadhamani ya mfuko wa maji, kusimamia thamani ya fedha zinazotumwa katika halmashauri mbalimbali kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya maji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS