Gari la kwanza Tanzania kutengenezwa Desemba, 2016 Kampuni ya Simba Motors imesema ina mpango wa kujenga kiwanda cha kuunganisha magari aina ya pick-up ambacho kitaanza kuzalisha magari kabla ya Desemba 30, mwaka huu. Read more about Gari la kwanza Tanzania kutengenezwa Desemba, 2016