Ukatili wa kijinsia UDSM wapungua
Ukatili wa kijinsia katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam umepungua baada ya chuo hicho kupitia kituo chake cha jinsia kutunga sera inayosimamia masuala ya jinsia ambayo imekuwa mwongozo wa kukabiliana na vitendo vya ukatili wa kijinsia chuoni hapo