Siri mapigano ya wakulima na wafugaji yafichuka
Wafugaji wa jamii ya kimasai walioko katika kijiji cha Kambala wamesema mgogoro uliopo baina yao na wakulima wa vijiji jirani kwa kiasi kikubwa unachochewa na baadhi ya wakulima wanaotoka katika Manispaa ya Morogoro.