Mfumuko wa bei mwezi Novemba wapanda kwa 0.3%
Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Novemba 2016 umeongezeka hadi kufikia asilimia 4.8 kutoka asilimia 4.5 iliyokuwapo mwezi Oktoba, 2016 kutokana na kuongezeka kwa bei ya bidhaa na huduma katika maeneo mbalimbali nchini.