Kigwangalla acharuka, atoa miezi 6 ujenzi wa vituo
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangalla ametoa miezi sita kwa viongozi wote nchini kuanzia wakuu wa wilaya, wakurugenzi na waganga wakuu wa mikoa kuanza ujenzi wa vituo vya afya kwa kila kata nchini.