Nchi 5 kuoneshana ubabe wa ngumi nchini Tanzania Mchezo wa ndondi za ridhaa Nchi tano zimethibitisha kushiriki katika mashindano ya Michuano ya Mabingwa wa Mabingwa ya mchezo wa ngumi yanayotarajiwa kuanza Desemba 09 mwaka huu jijini Dar es salaam. Read more about Nchi 5 kuoneshana ubabe wa ngumi nchini Tanzania