Rais Magufuli ateua Naibu Kamishna Mkuu TRA Rais Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 20 Novemba, 2016 amemteua Bw. Charles E. Kichere kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Read more about Rais Magufuli ateua Naibu Kamishna Mkuu TRA