Rais Magufuli avunja bodi ya wakurugenzi TRA
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Mgufuli , leo Tarehe 20 November , 2016 ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Bw.Bernard Mchomvu.