Benki ya Barclays yatoa 'shavu' la ajira UDSM
Benki ya Barclays Tanzania leo imetoa mafunzo kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, yenye lengo la kuwaandaa wanafunzi hao kuingia katika soko la ajira na kukabiliana na tatizo la ajira nchini kupitia kampeni ya 'READY TO WORK'