Tunajivunia kuwa nominated EATV AWARDS -Navy Kenzo
Wasanii wa kundi la muziki la Navy Kenzo ambao wako kwenye nomination za kuwani kundi bora la mwaka na wimbo bora wa mwaka kwenye EATV AWARDS, wamesema wanajivunia kuwa miongoni mwa waliofanikiwa kupenya.