Rais Magufuli afanya uteuzi hifadhi za jamii Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Joh Pombe Magufuli, leo amefanya uteuzi wa wenyeviti wa bodi za hifadhi za jamii hapa nchini, za PSPF na LAPF. Read more about Rais Magufuli afanya uteuzi hifadhi za jamii