Michuano ya Kombe la FA kuzinduliwa Jumamosi hii
Michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka nchini linalofahamika kama FA CUP itakayoshirikisha timu 86 msimu huu, inatarajiwa kuanza kutimua vumbi rasmi hapo kesho kwa uzinduzi rasmi utakaofanyika mkoani Tanga.