Chiki 'ampigia magoti' JB Chiki Msanii wa bongo movie Chiki amesema JB hana sababu ya kustaafu kuigiza kwa kuwa ni mtu ambaye bado sanaa inamuhitaji na kuna wasanii wachanga na wakongwe wanamuhitaji kwa ushauri zaidi. Read more about Chiki 'ampigia magoti' JB